Monday, 19 August 2013

Sheik Ponda afikishwa Mahakamani chini ya ulinzi mkali

 

Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Issa Ponda  amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya mkoa wa Morogoro. 

Sheikh Ponda amefikishwa mahakamani hapo akiwa chini ya ulinzi mkali akisindikizwa na msafara wa magari yaliyokuwa na polisi. 
 
Ponda amesafirishwa kutoka jijini Dar es Salaam mpaka mkoani Morogogro kwa usafiri wa helkopta iliyotua katika viwanja vya Gymkhana. 

No comments:

Post a Comment