Wednesday, 23 October 2013

JAMAL MALINZI AZINDUA KAMPENI ZA KUWANIA URAIS WA TFF KWA KISHINDO KIKUBWA.

418_d188d.jpg
Jamali Malinzi mgombea urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF akizungumza na waandishi wa habari na wadau wa mpira wa miguu  kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro Kempiski jijini Dar es salaam leo ,wakati akizindua rasmi Kampeni zake za kuwania uongozi huo ambapo ameelezea mikakati yake mbalimbali ya kuendeleza soka , hata hivyo ameahidi kuendeleza yote mazuri ambayo yamefanywa na uongozi unaomaliza muda wake chini ya Leodger Tenga.
318_fdc76.jpg
Baadhi ya watoto wakiwa maeshikilia mipira wakati Mgombea urasi wa TFF Jamali Malinzi akielezea malengo yake kuhusu soka la vijana wadogo na kukuza vipaji kabla ya kupata timu za taifa.
226_eb051.jpg
Watoto wa kipozi na mipira wakati wa uzinduzi huo.
140_b5d2d.jpg
Jamali Malinzi akionyesha mpira mbele ya waandishi wa habari wakati alipozindua rasmi kampeni zake za kuwania uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro Kempiski jijini Dar es salaam leo.
POSTED BY:www.info@dirayetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment