MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TRA YAFANYA MASHINDANO YA KODI KWA WANAFUNZI. Unknown 21:30 Edit Mwanafunzi wa Green Acres,Nicodemas Pallangyo akiwakilisha mada yake inayohusiana na Kodi ya malipo ya mwekezaji,wakati wa sherehe za mashindano ya kodi yalioshirikisha shule za Sekondari Mkoa wa Dar es salaa,lengo la sherehe hiyo kukuza ufahamu kwa wanafunzi katika masuala yanayohusu kodi mbalimbali zinazosimamiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania. Wanafunzi kutoka shule za sekondari mbalimbali pamoja na walimu wa shule hizo wakifuatilia kwa umakini mada iliyokuwa ilikuwa ikiendelea kwenye sherehe hiyo,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa 29-Octoba 2013jijini Dar es salaa, zilizofunguliwa na Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA,Bw Rished Bade. POSTED BY:www.info@dirayetu.blogspot.com Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment