MATUKIO YA WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA KATIKA MATUKIO YA PICHA BUNGENI!! Unknown 21:00 Edit Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalum Mark Mwandosya ambaye pia ni Mbunge wa Rungwe Mashariki, Profesa Mark Mwandosya, Bungeni mjini Dodoma Novewmba 4, 2013. Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Anna Abdallah kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 4, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Longido Lekule Laizer (kulia) na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 4, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Ritta Kabati kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 4, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) POSTED BY:www.info@dirayetu.blogspot.com Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment