PICHA NA MATUKIO YA PINDA AKIAHIRISHA KIKAO CHA BUNGE. Unknown 21:13 Edit Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisoma hotuba yake ya kuahirisha kikao cha Bunge mjini Dodoma Novemba 9, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya wabunge wakimpongeza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kusoma hotuba yake ya kuahirisha kikao cha Bunge mjini Dodoma Novemba 9, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo (watatu kulia), Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa (wapili kulia) na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) POSTED BY:www.info@dirayetu.blogspot.com Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment