Monday, 17 February 2014

CCM YABAKI NA MSIMAMO WA SERIKALI MBILI WENYE MABORESHO


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo aliwaeleza kuwa Kikao cha NEC kilikamilika vizuri ambapo wajumbe waliijadili Rasimu vizuri na CCM kubaki na msimamo wa Serikali mbili .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia CCM bado imebaki na msimamo wake wa Serikali mbili wenye maboresho.

No comments:

Post a Comment