MATUKIO PICHA:UZINDUZI WA
KAMPENI YA TAIFA YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI YA KATIBA YA
TANZANIA KWA WANANCHI , UKUMBI WA MIKUTANO MLIMANI CITY.
Kikundi cha muziki kutoka haki za binadamu kikiwa kinatumbuiza kumpokea mgeni rasmi akiwa anaingia
burudani za muziki wa kiafrika maarufu kama makilikili kikiwa jukwaani kwaajiri ya mapokezi ya mgeni rasmi
Mgeni Rasmi Bi.Maafudha Hamidu akiwa amewasili katika ukumbi
Baadhi ya Watu wakiwa wanampokea mgen rasmi kwa kupiga makofi
Baadhi ya vikundi vya walemavu wa ngozi wakiwa wamefika kushuhudia uzinduzi huo
Kikundi cha vimbwanga kikiwa kinawndelea kutoa burudani kwaajiri ya kuweka ukumbi katika hari ya furaha
Mgeni rasmi akiwa amewasili na kuketi katika meza kuu
kikundi cha vibwagizo kikiwa kina toa kibwagizo cha bunge la katiba
No comments:
Post a Comment