Sunday, 9 February 2014

ULINZI ULIVYOIMARISHWA WAKATI WA UCHAGUZI HADI KUTANGAZWA MATOKEO IRINGA!!

 

FFU  wakiwa wameweka ulinzi eneo la Nduli leo 
Wana CCM wakishangilia  ushindi  
Wana CCM Kata ya  Nduli  wakisubiri matokeo leo 
Wafuasi  wa  CCM  wakiwa wamembeba  juu juu katibu wa CCM Iringa mjini Hassan Mtenga 
Hivyo ndivyo ilivyokuwa huko Iringa.

No comments:

Post a Comment