Tuesday, 13 May 2014

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA TAASISI ZILIZO CHINNI YA OFISI YA WAZIRI MKUU MKOANI DODODMA!!


Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waki kagua moja ya Mradi  uanao tekelezwa na ( CDA) Miradi hii nikatika   mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN).
 

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa  (CDA) Bw:Pascal Muragiri  akitoa maelezo ya mradiwa Barabara unaotekelezwa na CDA kwa msaada wa  Benki  ya Dunia  wanao wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu OWM Mkoani Dodoma

No comments:

Post a Comment