Monday, 26 May 2014

LISSU AWATAJA MAWAZIRI OMBAOMBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII!!

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
“Huyo Lissu ana upungufu mkubwa. Hivi LAPF ikisaidia Sh2 milioni kwa ujenzi wa darasa unaogharimu Sh10 milioni ni tatizo hilo? Nchi hii inakwenda wapi jamani, siyo kila kitu wanachozungumza wapinzani ni hoja, kama LAPF wangekuwa wanatoa fedha lingekuwa tatizo lakini wanasaidia vifaa tu.”

No comments:

Post a Comment