Friday, 23 May 2014

ZIARA YA MWENGE WA UHURU WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA!!


Wadau wa Mwenge wa Uhuru ambao pia ni wakuu wa idara katika Wilaya Kalambo Ndugu Mirunga (kushoto) na Maholani wakijadili jambo muda mfupi kabla ya kusomwa Risala ya Utii ya Mwenge wa Uhuru kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Wilayani Kalambo.- Na Hamza Temba Ofisi ya Mkuu wa

No comments:

Post a Comment