Tuesday, 22 July 2014

WANASHERIA WAHOJI UHALALI WA BUNGE LA KATIBA BILA UKAWA!!

Hakuna kifungu cha sheria kinachosema Rais anaweza kulivunja Bunge hilo, bali linaweza kuahirishwa. Nami ningeshauri liahirishwe hadi hapo maridhiano yatakapopatikana,”.

 Zikiwa zimebaki wiki mbili kuanza vikao vyake, baadhi ya wanasheria wamehoji uhalali wa Bunge hilo kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba bila ya kuwapo kwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

No comments:

Post a Comment