Wednesday, 27 August 2014

WALIOPOTEZA,KUIBIWA VYETI WATAKIWA KUFUATA TARATIBU PINDI WAOMBAPO KAZI SECRETARIATI YA AJIRA!!

Serikali yasisitiza matumizi ya vyeti halisi wakati wa uombaji wa kazi Secretariati ya Ajira



Serikali imewataka waombaji kazi waliobadilisha majina, waliosoma nje ya Nchi, kupoteza, kuibiwa, kuharibikiwa au kuunguliwa na vyeti kufuata taratibu pindi wanapoomba kazi secretariati ya ajira.

No comments:

Post a Comment