Tuesday, 4 November 2014

BENKI YA DUNIA YAJIPANGA KUNUSURU KAYA MASKINI NCHINI TANZANIA!!


    Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi akimkaribisha Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kyle Peters alipotembelea miradi ya TASAF wilayani humo. Kushoto kwake Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Ladislaus Mwamanga.




No comments:

Post a Comment