Thursday, 29 January 2015

HABARI PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO!!


 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akifurahia jambo  na Mbunge wa Viti Maalumu, Zainabu Vullu katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akielezwa jambo na  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi katika  viwanja vya Bunge, mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment