Tuesday, 3 February 2015

Kamati za shule mkoani MBEYA zashindwa kutekeleza majukumu yake

Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la MBEYA, MUSSA ZUNGIZA
Kamati za shule za msingi mkoani MBEYA zimeonekana kushindwa kutimiza wajibu wake hususan uboreshaji wa Majengo na mazingira ya shule katika Halmashauri ya Jiji la MBEYA.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la MBEYA MUSSA ZUNGIZA amekiri kuwa mazingira ya baadhi ya shule hayaridhishi kutokana na kukabiliwa na majukumu mengi huku baadhi ya viongozi wa ngazi ya kata wakiwemo madiwani wakituhumiwa kutumia vibaya fedha za michango ya wananchi.

No comments:

Post a Comment