![]() |
Kikosi cha Liverpool. |
Wakicheza kwao, Bolton walitangulia kuifunga Liverpol kwa Bao la Penati ya Dakika ya 59 ya Gudjohnsen na Liverpool kusawazisha katika Dakika ya 86Mfungaji akiwa Raheem Sterling.
Bolton walicheza wachezaji 10 kuanzia Dakika ya 66 baada ya Neill Danns kupewa Kadi Nyekundu.
Kwenye Raundi ya 5 Liverpool watacheza Ugenini na Crstal Palace.
VIKOSI:
Bolton Wanderers (Mfumo 4-4-2): Lonergan; Dervite, Mills, Wheater, Ream; Moxey, Danns, Vela, Feeney; Clough, Gudjohnsen
Akiba: McNaughton, Hall, Trotter, Fitzsimons, Threlkeld, Iliev, Walker.
Liverpool (Mfumo 3-4-3): Mignolet; Can, Skrtel, Sakho; Markovic, Allen, Gerrard, Moreno, Lallana, Sterling, Coutinho
Akiba: Ward, Johnson, Lambert, Henderson, Sturridge, Manquilo, Borini.
REFA: Roger East
0 comments:
Post a Comment