Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma ametangaza mazishi ya Nelson Mandela yatafanyika siku ya Jumapili, Desemba 15 mwaka huu kijijini kwake Qunu, katika jimbo la Eastern Cape, Afrika Kusini.
Rais Zuma ametangaza siku 5 za maombolezo kitaifa na bendera zitapeperushwa nusu mlingoti katika muda wote huo. Na ameitangaza siku ya Jumapili ya Desemba 8, 2013 kuwa siku maalumu ya kitaifa ya maombolezo na kumkumbuka Madiba nchi nzima.
Tayari
msisimko wa mazishi hayo yanayotarajiwa kuwa ya kihistoria umekamata
dunia nzima, ambapo tayari Rais Obama wa Marekani, mstaafu Bill Clinton
na Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron ni baadhi tu ya viongozi ambao
wamethibitisha kushiriki.
Sala ya mazishi imepangwa kufanyika katika Uwanja wa Taifa wa FNB Desemba 10, 2013 jijini Johanesburg.
Mwili wake utawekwa katika jengo la serikali liitwalo Union Buildings kuanzia Desemba 11 hadi 13, kwa kupewa heshima za mwisho, kabla ya kupelekwa kijijini Qunu kwa mazishi.
Sala ya mazishi imepangwa kufanyika katika Uwanja wa Taifa wa FNB Desemba 10, 2013 jijini Johanesburg.
Mwili wake utawekwa katika jengo la serikali liitwalo Union Buildings kuanzia Desemba 11 hadi 13, kwa kupewa heshima za mwisho, kabla ya kupelekwa kijijini Qunu kwa mazishi.
WATEMBELEAJI WA WEBSITE YANGU
1858137
KWA HABARI NA MATUKIO WASILIANA NAMI KUPITIA
Email adress: gilliadykahema@gmail.com
VIDEO YA WIMBO WANGU
WATU WANGU WA UKWELI
HABARI KUMI ZILIZOSOMWA SANA
-
Commonly known as the Elephant Trunk Snake, though that name can be used for all members of this family, this species is the best known m...
-
Wadau poleni na kazi za leo,ok Utandawazi umeendelea kuwaangamiza dada zetu wanaopenda kuiga mambo wasiyoyajua.... Katika uch...
-
Pichani juu ni mdada Rehema Chalamila ‘Ray C’ na chini ni mashairi ya wimbo mpya anaouandaa mwanadada huyo ambao ameutupia katika ukurasa wa...
-
These two young men were caught enjoying themselves at the toilet facility of a Top restaurant in the city. According to information gather...
-
MAMA mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, Shida Salum amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Dar es Salaam...
-
Tazama picha hapo chini.. huyo ndiye matoto wa Prince Dully Sykes...Kuwa naa mtoto Raha sana jamani.. CHEKI hapo...!
-
HUYU binti ambaye anaishi opposite my flat, anaishi na dada yake mkubwa, amemaliza elimu yake ya secondary. Mimi na dada yake tupo jiran...
-
Nicki Minaj the super start celebrity singer on The ellen show. She is the most successful female rapper of all time so far, Her new fema...
-
Na Issa Mnally na Richard Bukosi SHABAASH! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Hamis mkazi wa Tandale jijini Dar, hivi karibuni alijikuta...
new songs
BLOGS KALI NA WEBSITES ZA BONGO
-
TASWIRA YA RAIS JAKAYA KIWETE NA MHE EDWARD NYOYAI LOWASSA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU MWAKA 2013 UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM. - UMOJA WETU NDIO NGAO YETU, UMOJA WETU NDIO ALAMA YA USHINDI TANGU 1961-2013.(MIAKA 52 YA UHURU WETU) BADO SISI NI WAMOJA NA TUTAENDELEA KUWA WAMOJA K...
12 minutes ago -
RAIS UHURU KENYATTA AZINDUA SARAFU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA - Bi Joy Kerubo akiwa ameshika sarafu ya sherehe ya Sh50 baada ya kuzinduliwa na Rais Uhuru Kenyatta KICC Desemba 9, 2013. Picha/BILLY MUTAI Na WANDERI KAMA...
36 minutes ago -
RAIS UHURU KENYATTA AZINDUA SARAFU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA - Bi Joy Kerubo akiwa ameshika sarafu ya sherehe ya Sh50 baada ya kuzinduliwa na Rais Uhuru Kenyatta KICC Desemba 9, 2013. Picha/BILLY MUTAI Na WANDERI KAMA...
36 minutes ago -
Maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika. - [image: jkuhuru]*Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo ameongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.* *Miaka 52 imetimia ...
39 minutes ago -
Watanzania watolewa wasiwasi kuhusu Uanzilishi wa Sarafu Moja ya Afrika Mashariki...!! - Watanzania wamehakikishiwa kuwa pamoja na changamoto kadhaa zitakazotokana na maamuzi ya kuanzishwa kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ...
58 minutes ago -
MSAANI MAARUFU "KELLY ROWLAND " KUTOKA MAREKANI AKIWA UWANJA WA FISI MANZENSE DAR 17 JUNI 2008 - [image: theclicktz.com/] Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, alitinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya Us...
1 hour ago -
A WORLD 1ST: 2 OPENLY GAY MEN BECOME PRIME MINISTER & DEPUTY PM - Some people say the world is coming to an end...and maybe it is! Lol. For the first time in history, a country will have an openly gay man as both its Pr...
2 hours ago -
TAZAMA MSANII MAARUFU NNCHINI MAREKANI KELLY ROWLAND ALIVYOTEMBELEA MITAA YA MANZESE USWAHILINI JIJINI DAR - Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, ametinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam jana jioni baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya Uswahilini t...
3 hours ago -
TAMASHA LA KUPINGA RUSHWA "MIMI NI AFRIKA NA AFRIKA NI MIMI" LAFANA JANA JIJINI ARUSHA. - Wasanii wa Kikundi cha ngoma wakitumbuiza wakati wa Tamasha la mimi ni Afrika,Afrika ni mimi Kikundi cha ngoma kikiendelea kutumbuiza Mshehereshaji wa Tama...
5 hours ago -
-
MWANAMKE ANUSURIKA KUBAKWA BAADA YA KUVAA KIVAZI CHA NUSU UTUPU - MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti. *Mrembo ...
10 hours ago -
Mario Balotelli aiokoa Milan ugenini, Juve dah! - [image: http://cdn.bleacherreport.net/images_root/slides/photos/003/451/372/hi-res-452749825-mario-balotelli-of-milan-celebrates-his-teams-second_crop_650x...
1 day ago -
MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA HIGH LEVEL GROUP KUHUSU ELIMU NA AFYA KWA VIJANA WA NCHI ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA - Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini ya Afr...
2 days ago -
PICHA ZA WATU MAARUFU DUNIANI WAKIWA NA MZEE MANDELA ENZI ZA UHAI WAKE - [image: nelson-david-beckham--z] Nelson Mandela kutokana na historia yake ya harakati za kutokomeza ubaguzi wa rangi nchini South Africa alivutia watu weng...
2 days ago -
Mfahamu Nelson Mandela Zaidi Ya Mjuavyo,Kuzaliwa Kwake Mpaka Kufa Kwake - Miaka ya Mapema 1952 Rolihlahla Mandela, mwanawe chifu, alizaliwa katika kijiji kimoja kiitwacho, Mvezo katika mkoa wa Eastern Cape nchini Afrika Kusini ...
3 days ago -
-
For Bloggers!! Rules to Consider..! - [image: Blog za Bongo]Blog have been updated in the last 7 days and must be public accessible. Blogs that contains sexually explicit, extreme violence or of...
4 weeks ago -
ASKARI WA USALAMA AGONGWA NA KUFARIKI HAPO HAPO, BAMAGA - *Askari aliyegongwa na kufa akiwa amefunikwa nguo.*Askari wa Usalama balalani jana aligongwa na kufa hapo hapo jana katika msafala wa Rais J.K, maeneo ya B...
8 months ago
Copyright (c) 2013 MASAI NYOTAMBOFU.
Design by TEKNOHAMA TANZANIA
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment