KIKOSI BORA DUNIANI 2013: WAGOMBEA 55 WAKAMILIKA KUPATA XI!!

  MAFOWADI 15 WATAJWA, WAUNGANA NA MAKIPA 5, MABEKI 20, VIUNGO 15!!
FIFPro), yaani Shirikisho la Kimataifa la Wachezaji Soka wa Kulipwa, pamoja na FIFA, Jana walitangaza Majina ya Mafowadi 15 nafifprokukamilisha Listi ya Wachezaji 55 watakaokuwemo kwenye kinyang’anyiro cha kuchagua Wachezaji 11 ili kuunda Kikosi Bora Duniani kwa Mwaka 2013, kinachojulikani rasmi kama FIFA/FIFPro World XI.

FIFA/FIFPro World XI hupatikana kwa Kura za Wachezaji Soka ya Kulipwa Duniani na itaundwa na Kipa mmoja, Mabeki wanne, Viungo watatu na Mafowadi watatu na kutangazwa Januari 13.
LISTI KAMILI YA WACHEZAJI 55 KUGOMBEA FIFA/FIFPro World XI:
MAKIPA 5:
-Gianluigi Buffon (Italy, Juventus)
-Iker Casillas (Spain, Real Madrid CF)
-Petr Cech (Czech Republic, Chelsea FC)
-Manuel Neuer (Germany, FC Bayern München)
-Víctor Valdés (Spain, FC Barcelona).
MABEKI 20:
-David Alaba (Austria, FC Bayern München);
-Jordi Alba (Spain, FC Barcelona);
-Dani Alves (Brazil, FC Barcelona);
-Leighton Baines (England, Everton FC);
-Jérôme Boateng (Germany, FC Bayern München);
-Ashley Cole (England, Chelsea FC);
-Dante (Brazil, FC Bayern München);
-Mats Hummels (Germany, Borussia Dortmund);
-Branislav Ivanović (Serbia, Chelsea FC);
-Philipp Lahm (Germany, FC Bayern München);
-David Luiz (Brazil, Chelsea FC);
-Vincent Kompany (Belgium, Manchester City FC);
-Marcelo (Brazil, Real Madrid CF);
-Pepe (Portugal, Real Madrid CF);
-Gerard Piqué (Spain, FC Barcelona);
-Sergio Ramos (Spain, Real Madrid CF );
-Thiago Silva (Brazil, Paris St-Germain FC);
-Raphaël Varane (France, Real Madrid CF);
-Nemanja Vidić (Serbia, Manchester United FC);
-Pablo Zabaleta (Argentina, Manchester City FC).
VIUNGO 15:
-Xabi Alonso (Spain, Real Madrid CF)
-Gareth Bale (Wales, Tottenham Hotspur FC/Real Madrid CF)
-Sergio Busquets (Spain, FC Barcelona)
-Steven Gerrard (England, Liverpool FC)
-Andrés Iniesta (Spain, FC Barcelona)
-Isco (Spain, Málaga CF/Real Madrid CF)
-Mesut Özil (Germany, Real Madrid CF/Arsenal FC)
-Andrea Pirlo (Italy, Juventus)
-Marco Reus (Germany, Borussia Dortmund)
-Franck Ribéry (France, FC Bayern München)
-Arjen Robben (Netherlands, FC Bayern München)
-Bastian Schweinsteiger (Germany, FC Bayern München)
-Yaya Touré (Ivory Coast, Manchester City FC)
-Arturo Vidal (Chile, Juventus)
-Xavi (Spain, FC Barcelona).
MAFOWADI 15:
Sergio Agüero (Argentina, Manchester City FC)
Mario Balotelli (Italy, AC Milan)
Edinson Cavani (Uruguay, AS Napoli/Paris Saint-Germain FC)
Diego Costa (Spain, Atlético de Madrid)
Cristiano Ronaldo (Portugal, Real Madrid CF)
Didier Drogba (Ivory Coast, Galatasary SK)
Radamel Falcao (Colombia, Atlético de Madrid/AS Monaco FC)
Zlatan Ibrahimovic (Sweden, Paris Saint-Germain FC)
Robert Lewandowski (Poland, Borussia Dortmund)
Mario Mandzukic (Croatia, FC Bayern München)
Lionel Messi (Argentina, FC Barcelona)
Neymar (Brazil, FC Barcelona)
Robin van Persie (The Netherlands, Manchester United FC)
Wayne Rooney (England, Manchester United FC)
Luis Suarez (Uruguay, Liverpool FC)

FIFA na International Federation of Professional Footballers (FIFPro), yaani Shirikisho la Kimataifa la Wachezaji Soka wa Kulipwa, wamekuwa wakiendesha Kura za Kikosi Bora Duniani cha Mwaka kwa Miaka mitano sasa.
Kikosi cha Wachezaji 11 kitatangazwa rasmi hapo Januari 13, Mwaka 2014 huko Zurich, Uswisi kwenye Tafrija maalum ya FIFA Ballon d’Or Gala ambayo pia atatangazwa Mshindi wa FIFA Ballon d’Or, yaani Mchezaji Bora Duniani kwa Mwaka 2013.
Mwaka 2012, Wachezaji wote 11 walioshinda na kuingia Kikosi Bora Duniani walitokea Spain kwenye La Liga.

KIKOSI BORA DUNIANI 2012:
KIPA: Iker Casillas
MABEKI: Sergio Ramos, Gerard Pique, Daniel Alves, Marcelo
KIUNGO: Xabi Alonso, Xavi, Andrés Iniesta
MAFOWADI: Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Radamel Falcao

Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ndio Wachezaji waaoshikilia Rekodi ya kuteuliwa mara nyingi kwenye Kikosi Bora Duniani kwa kuingia mara 6 kila mmoja.
FIFPro tayari imeshatuma Karatasi za Kura 50,000 kwenda Nchi 68 Duniani katika Mabara ya Africa, Asia, Europe na Marekani.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment