SIMBA NA YANGA WASHINDWA KUONYESHANA UBABE!!



 Kiungo wa timu ya Simba,Amri Kiemba akuchuana vikali na Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Andrey Coutinho wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana
 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Geilson Santos "Jaja" akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
 Golikipa wa Timu ya Simba,Manyika Peter Jr akinyaka vyema mpira mbele ya Washambuliaji wa Timu ya Yanga.
Mchezaji wa Timu ya Simba Elias Maguri akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Yanga,Oscer Joshua katika mtanange wa watani wa Jadi Yanga na Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment