Friday, 20 June 2014

SERIKALI KUANZISHA CHOMBO MAALUM CHAKUSIMAMIA AJIRA NA MASLAHI YA WAALIMU!!

Serikali imeridhia kuanzisha chombo maalumu kitakachoshughulikia nidhamu na ajira za walimu, lengo likiwa ni kuondoa kero za muda mrefu zinazowakabili walimu nchini.

No comments:

Post a Comment