Info@DiraYetu

Friday, 20 June 2014

WAZIRI MAGUFULI AKIJENGA WENGINE WANABOMOA!!

Semi-Trela likiwa limebeba kontena likiwa limeanguka baada ya kulielemea  kwa uzito na kulivunja daraja la chuma katika barabara ya Banana-Kinyerezi maeneo ya Tabata jijini Dar es salaam jana jioni. 

Haikuweza kufahamika mara moja lilikuwa limebeba mzigo gani na kama dereva alikuwa anajua daraja hilo ni kwa magari yenye uzito wa wastani  wa tani 7 tu au ni kiburi tu.  Hakika Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli  na jeshi lake wana kazi ya ziada kuhakikisha uzembe kama huu hautokei na haujirudii.
Unknown at 11:04
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile