Thursday, 19 June 2014

TANZANIA YAENDELEA KUGUNDUA MAENEO MENGINE YENYE GESI!!


Kampuni ya Statoil ya Norway na mshirika wake ExxonMobil wamegundua kiasi kingine kikubwa cha gesi katika Bahari ya Hindi nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment