Thursday, 19 June 2014

MUME WA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI FLORA MBASHA APANDISHWA KIZIMBANI!!

 
Mume wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili na mfanyabiashara, Emmanuel Mbasha amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa mashtaka ya ubakaji.

No comments:

Post a Comment