Tuesday, 12 August 2014

UKAWA WAENDELEZA MSIMAMO WAO WAKUPINGA MCHAKATO WA KATIBA MPYA!!



Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe  akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.  Wanaomfuatia ni wenyeviti wenza wa umoja huo James Mbatia (katikati) na Profesa Ibrahimu Lipumba. Picha na Edwin Mjwahuzi  

No comments:

Post a Comment