Friday, 19 September 2014

JUKWAA LA WANAHABARI LATOA TAMKO KUFUATIA WAANDISHI WA HABARI KUPEWA KIPONDO JANA!!




Siku moja baada ya sakata la waandishi wa
habari kupokea kipigo wakati wakiwa eneo la kazi makao makuu ya polisi jana,jukwaa la
wahariri Tanzania(TEF) limeibuka na tamko zito la kulaani kitendo hicho kwa
kile walichodai kuwa ni mwendelezo wa kuendelea kuwaadabisha wanahabari wakati
wakitekeleza majukumu yao.


No comments:

Post a Comment