Friday, 19 September 2014

UWEZEKANO WA KUBADILISHA MUUNDO WA MUUNGANO WA SERIKALI MBILI HADI TATU KATIKA MCHAKATO WA KATIBA NI KITENDAWILI,"SEFUE"


Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue. 

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema hakuna uwezekano wa kubadili muundo wa muungano kutoka Serikali mbili kwenda Serikali tatu katika mchakato wa Katiba. 











Licha ya kusema kuwa kuna matumaini ya kupata Katiba Mpya, Balozi Sefue alisema ikishindikana Katiba iliyopo itafanyiwa marekebisho ili ituvushe hadi mchakato utakaporejeshwa tena.











“Kwenye kila pembe ya nchi utaona kazi zinazoendelea za kujenga barabara za lami na changarawe, na kuwekeza kwenye kufua, kusafirisha na kusambaza umeme,” alisema.


 Alisema mwaka 2002 ni asilimia 10 tu ya wananchi walipatiwa umeme, leo umeme umewafikia asilimia 36 ya wananchi, na asilimia 24 tayari wameunganishiwa umeme.

Balozi Sefue alikiri kuporomoka kwa maadili kwa baadhi ya watumishi wa umma akisema ni matokeo ya tabia kama hiyo kwa jamii nzima:

No comments:

Post a Comment