KAMPENI ZA NANI MTANI KANDA YA ZIWA OCT 2013 YATOA BURUDANI KINOMAAAAA!!

Mkazi wa Misungwi ndg Maiko Sabuni akishangilia kwa kupiga push up baada ya kushinda mchezo wa danadana katika kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro ktk baa ya Madaha Green Park tar 19/10/13

3Mashabiki wa Simba wakishangilia baada ya kuwashinda wapinzani wao jukwaani. hii ilikuwa ni ktk baa ya
  Madaha green park Misungwi kwenye kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia  bia ya Kilimanjaro
4Mashabiki wa Yanga wakiwaburuza wapinzani wao Simba ktk mchezo wa kuvuta kamba mjini Misungwi kwenye baa ya Madaha green park tar 19/10/13. Yote ni ktk kampeni ya NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Shabiki wa timu ya Simba ndg Ramadhan akifurahia kupata jezi  ya timu yake baada kushinda ktk jukwaa, Hii ni ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro kwenye baa ya Magaha green park katika mji wa Misungwi Mwanza tar 19/10/13.
Shabiki wa Yanga Emanuel Jacob akifurahia kuvalishwa jezi ya timu yake baada ya ushindi jukwaani mjini Misungwi ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilmanjaro Premium Lager.
Mpenzi wa timu ya Simba Adolf Mazuke akifurahi baada ya timu yake kutoka sare na Yanga kisha akanunua kreti la bia ya Kili na kupata zawadi ya jezi ya Simba. Ni ktk kampeni ya NANI MTANI JEMBE ktk baa ya Spears classic loge mjini Magu tar 20/10/13.
9 Shabiki wa Simba mr Walter Matemba akifurahia jukwaani baada ya kushinda vigezo na kupata zawadi katika kampeni za NANI MTANI JEMBE kuoitia bia ya Kilimanjaro ktk baa ya Spears Classic Loge mjini Magu Mwanza tar 20/10 /13.
11 
Wakazi wa Magu wakishiriki zoezi la kupiga mpira wa penati ukiwa umefungwa kutambaa usoni, ni katika   kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya KILIMANJARO ktk baa ya Spears ClassicLoge  Magu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment