Tanzania kuwa Mwenyeji Mkutano wa Vyombo vya utangazaji Nchi za SADC.


mshana 25e90
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana(kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari(hawapo Pichani) kuhusu mkutano Mkuu wa mwaka wa Vyombo vya Utangazaji vya nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) unaotarajiwa kufunguliwa rasmi tarehe 21 october 2013 Jijini Arusha, ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.Kulia ni Mratibu wa Kanda wa Shirika hilo Bw. Joe Rugarabamu.
Picha na Hassan Silayo-MAELEZO
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment