WEEK END HII MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND WABADILIKA SPURS YAICHAPA VILLA 2-0 VILLA PARK!!


BPL2013LOGOBAO za Andros Townsend na Roberto Soldado limewapa Tottenham ushindi wa Bao 2-0 walipocheza leo Mechi ya BPL, Ligi Kuu England huko Villa Park na Aston Villa.
Ushindi huu umeifanya Tottenham ichupe hadi Nafasi ya 5 kwenye Ligi lakini uliingia dosari baada ya Refa Msaidizi kurushiwa mgongoni fataki mara tu baada ya Andros Townsend kufunga Bao la kwanza katika Dakika ya 31.

Hata hivyo Refa huyo Msaidizi hakuumia na aliendelea na Mechi.
Bao la pili la Tottenhma lilifungwa kwenye Dakika ya 69 na Soldado.
VIKOSI:
Aston Villa: Guzan, Bacuna, Vlaar, Clark, Luna, El Ahmadi, Westwood, Delph, Weimann, Kozak, Agbonlahor
Akiba: Baker, Bennett, Steer, Herd, Sylla, Bowery, Tonev.
Spurs: Lloris, Walker, Dawson, Chiriches, Vertonghen, Paulinho, Sandro, Townsend, Holtby, Sigurdsson, Soldado
Akiba: Lennon, Defoe, Dembele, Friedel, Naughton, Eriksen, Lamela.
Refa: Phil Dowd.
RATIBA:
BPL: LIGI KUU ENGLAND
[Saa za Bongo]
Jumatatu 21 Oktoba
22:00 Crystal Palace v Fulham

MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Arsenal
8
9
19
2
Chelsea
8
9
17
3
Liverpool
8
6
17
4
Man City
8
11
16
5
Tottenham
8
3
16
6
Southampton
8
5
15
7
Everton
8
2
15
8
Man Utd
8
1
11
9
Hull
8
-2
11
10
Newcastle
8
-3
11
11
Swansea
8
1
10
12
West Brom
8
1
10
13
Aston Villa
8
-1
10
14
West Ham
8
0
8
15
Stoke
8
-3
8
16
Cardiff
8
-5
8
17
Fulham
7
-4
7
18
Norwich
8
-7
7
19
Crystal Palace
7
-8
3
20
Sunderland
8
-15
1
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment