Historia ya Winnie Madikizela-Mandela inaendelea......

Miaka ya awali

Jina lake la asili la Xhosani Nomzamo likimaanisha yeye anayejarubu. Alizaliwa katika kijiji cha Mbogoweni, HukoBizana katika Mkoa wa Pondo ambao kwa sasa ndio mji mkuu wa upande wa kusini mwa Afrika ya kusini. Ameshafanya  kazi mbalimbali katika maeneo mbalimbali kama vile Bantustan ya Transkei ikiwa ni pamoja na serikali ya Transkei, na kuishi katika maeneo mbalimbali kama vile Banzana, Shawbury na Johannesburg. Alikutana na mpingaji wa mfumo wa ubaguzi mwaka 1957. Walifunga ndoa mwaka 1958 na wana watoto wawili wa kike ambao ni Zenani aliyezaliwa mwaka 1959 na Zindzi aliyezaliwa mwaka 1960. 

Elimu

Pamoja na kuwa ma vizuizi vya upatikanaji elimu kwa watu weusi katika kipindi cha sera ya ubaguzi nchini Afrika ya Kusini, alipata shahada yake ya kazi za jamii katika shule ya Jan Hofmeyer katika mji mkuu wa Nchi hiyo Johannesburg na miaka mingine baadae alipata shahada ya pili katika Mahusiano ya kimataifa katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand katika jiji la Johannesburg.

Sera ya ubaguzi ya Apatheid

Aliibuka kamakiongozi wakuwapiga wazungu na sheria ya kuwapedelea wazungu katika miaka ya baadae ya kifungo cha mume wake ambacho kilikuwa kuanzia mwezi wanane mwaka1963 hadi mwezi wa pili mwaka 1990,. Katika muda mwingi  miaka hiyo alikuwa akifukuzwa na kukimbilia katika mji wa Brandfort katika eneo la Orange Free, alikaa hapo na alikua akiruhusiwa kutoka kwenda kumsalimia mume wa katika kisiwa cha Robben.
Katika miaka ya 1980 na miaka ya 1990, alivuta hisia za taifa na mataifa kwa ujumla,na alikuwa akifanyiwa mahojiano nawaandishi wa habari wa kitaifa na kimataifa kama vile Jain Allan Mwandishi anaeongoza katika uandikaji katika gazeti laSunday Times.
Mwezi wa kumi mwaka 2008,alimwandikia barua Jacob Zuma, na raisi ambaye alikuwa ndio tu, amestaafu, Thabo Mbeki akililalamika chinichini kazi aliyopewa na chama cha ANC katika harakati zake za kupinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika ya kusini.
Katika suala la harakatiza kupigania kuachiwa kwa wafungwa wa kisiasa nchini kwetu,harakati zetu ziliamua kuweka historia ya Nelson Mandela kamawakilishi katika haiba ya wafungwa wengine, na pia kutumia historia yake binafsi ya siasa, na kujumuisha mashtaka ya aliyekuwa mkewe Winnie Mandel, nakuifanya serikali ya Afrika ya Kusini kama ambayo haina huruma katika mfumowa ubaguzi nchini humo maarufu kama apartheid.

Kushtakiwa kwa unyanyasaji na mauaji

Heshima yake ilishuka, kutokana na kile ambacho wengi wanaamini kua kiu ya damu. Mfano halisi wa hali hii ni hotuba yakealiyoitoa katika eneo la Munsieville katika siku ya tarehe 13/04/1985. ambapo alikubali na kuaisha adhabu ya kuua watu kwa kuwavalisha matairi na kuweka mafuta ya Petrol na kisha kuwasha moto, katika harakati za kumaliza na kutokomeza mfumo wa Apartheid. Alisema kuwa, kwa kutumia viberiti vetu, na cheni zetu tutabadilisha nchi yetu.
Mambo zaidi yaliyoshusha heshima yake,ni mashataka aliyoshtakiwa na mlinzi wake wa binafsi,Jerry Richardson, kuwa Winnie Madikezela Mandela ameagiza kukamatwa na kuuliwa tarehe 29/12/1989.Richard alimteka mtotowa miaka14, aiyeitwa James Seipei pia najulikana kama Stompie Moeketsi,na watoto wengin watatu, kutoka katika nyumba ya Waziri mchungaji Paul Verryn.Mrs Mandelaalidai kuwa aliwachukua wototo hao na kuwapeleka katika nyumba yeke,kutokana na kuhisi kuwa Mchungaji huyo al ikuwa akiwanyanyasa kijinsia watoto hao.Watoto hao wanne,walipigwa sana iliwakubali kuwa walikuwa wakifanya mapenzi na mchungaji huyo. Pia Saipei alikuwa akidaiwa kuwa alikuwa mpelelezi. Mwili wa Saipei ulikutwa katika eneo la wazi ukiwa na vidodo vya kuchomwa tarehe 06/01/1990.
Mwaka 1991 alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya kuteka nyara na kuw nyongeza katika mateso yaliyosababisha kfifo cha Saipei. Kifungo chake cha miaka sita kilipunguzwa na kuwa kulipa faini baada ya kutokana na kukata rufaa

Kabla ya Mfumo wa ubaguzi/ Apartheid

Wakati wa mabadiliko ya Afrika ya kusini kuwa serikali ya Kidemokrasia, Winie alikuwa kidogo anawapendelea wazungu kuliko mume wake.Pamoja na kuwa na mume wake wakati akiachiwa huru mwakan1990.Miaka 38, ya ndoa ilimalizika walipaochana mwezi wa nne mwaka1992,baada ya kugundulika kuwa alikuwa sio mwaminifu kwa kipindi ambacho Mandela alipokuwa gerezani.Wawili hao walitalikiana mwezi wa tatu mwaka 1996.lakini alikuwa tayari kashapata jina la pili la Madikizela-Mandela. Alichaguliwa kuwa waziri wa sanaa,utamaduni, Sayansi na tekinolojia kama madaraka yake ya kwanza katika seriakali baada ya sera ya ubaguzi nchi humo yaani Apartheid.mwezi wa tano mwaka 1994,lakini alinyang'anywa wadhifa huo miezikumi na moja baadae baadaya kushutumiwa kwa kula rushwa. Alibakia maarufu kwa wnachama wengi wa chamacha ANC, na mwezi wa kumi na mbili mwaka1993,alichaguliwa kugombea nafasi ya uraisi kwa tiketi ya chama ca ANC, chamacha wanawake.japokuwa alijivua wadhifa huo na kuwa makamu mwenyekiti wa Raisi wa chama hicho, katika harakati kwenye mkutanowa Mafikeng mwezi wa kumi na mbili mwaka 1997. Mwaka 1997,alitokezakatika baraza laUkweli na Mapatani.Mchungai Desmond Tutu, alitambua umuhimu wake na nafasi yake katika harakati za kupigania uhuru na usawa lakini alimwomba akubali makosa yake na aweze kuomba msamaha.Katika kujibu alisema na kukubaki kuwa mambo yalikwenda vibaya sana.

Mashtaka ya udanganyifu

Tarehe 24/04/003, alikutwa na hatia ya mashtaka43,ya udanganyifu,25, ya wizi, na msaidizi wake Addy Moolman, alishtakiwa kwa makosa 58 ya udanganyifu, 25, ya wizi. Wote wawili walikana mashtaka yanayotokana na fedha zilizopotea kutokana na maombi ya mkopo na gharama za mazishi,maombi ambayo waombwai hawayapata licha ya fedha kutolewa. Medikizela-Mandela alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela. . Muda mfupi baada ya kuhukumiwa alistaafu nafasi zote alizokuwa nazo katika chama cha ANC cha wanawake. Mwishoni mwa mwaka 2003, rafiki yake wakaribu, Hazel Crane aliuwawa.Crane hapo mwazo alitaka kununua nyumba ya Madikizela-Mandela. . Mwezi wa saba mwaka 200,jajo wa mahakama kuu ya Pretoria alisemakuwa, makosa hayawezi kufanywa ili kumfaidisha mtu. Jaji huyo alimfutia mashtaka ya wizi na kuacha na mshtaka ya udanganyifu na hivyo kuanya kifungo chake kiwe cha miaka mitatu na miezi sita. 
@ BBC WORLD

Itaendelea tena kesho..........
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment