Wakazi wa Kitongoji cha Bogini wakiwa wamejitikeza kwenye Msaragambo kwa ajili ya kuchimba na kufukia kwa vifusi maeneo ambayo ni mapitio ya maji kwenda kwenye makazi ya watu. |
Wakazi wa kata ya Mabogini wakiwa katika Msaragambo. |
Shughuli ya kuziba maeneo korofi iliendelea. |
Hata wale wasio na vitendea kazi walilazimika kutumia mikono kufanya shughuli hiyo. |
Sehemu ya barabara ikizibwa na mabaki ya mmatofari ya kuchoma. |
Shughuli ya kuziba maeneo hayo ikiwa imekamilika . |
Sehemu ya barabara hiyo kama inavyoonekana mashimo ambayo yamekuwa chanzo cha uharibifu wa vyombo vya usafiri katika maeneo hayo zikiwemo daladala. |
0 comments:
Post a Comment