Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali ya Papo kwa papo bungeni mjini Dodoma Julai 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na madiwani wa jimbo la Busanda kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2014. Kulia ni mbunge wao
Lolesia Bukwimba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Sarah Kasui, mwanafunzi wa
Kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Sejeli mkoani Dodoma
kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Juni 12, 2014. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge Nyambali Nyangwine wa
Tarime (katikati) na na Saidi Mtanda wa Mchinga kwenye viwanja vya
bunge mjini Dodoma Juni 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Profesa Mark Mwandosya kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 12,
2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum,Lucy Mayenga
(kushoto) na Mbunge wa Mchinga Saidi Mtanda kwenye jengo la Utawala la
Bunge mjini Dodoma Juni 12, 2014. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa akiwa katika picha ya pamoja na madiwani
kutoka jimbo la Busanda, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 12,
2014. Wapili kulia ni Mbunge wa jimbo hilo, Lolesia Bukwimba. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na madiwani kutoka
jimbo la Busanda, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 12, 2014.
Wapili kulia ni Mbunge wa jimbo hilo, Lolesia Bukwimba. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)

Waziri
kuu, Mizengo Pinda akisalimana na viongozi wa vijiji na kata kutoka
jimbo la Ludewa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 12, 2014.
0 comments:
Post a Comment