HABARI PICHA: MIILI INAYODAIWA NI YA BINADAMU ILIYOKUTWA JANA JIJINI DAR IKIWA NDANI YA MIFUKO IMETUPWA!!


Viungo vya kamatwa


Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina baada ya kukakamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya binadamu katika mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
 Mmoja ya Kiungo Kinachodaiwa cha Mguu 


 Baadhi ya Mifuko ambamo kunadaiwa Maiti izo zilikuwa zimewekwa

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment