LIGI KUU TANZANIA BARA: YANGA SC YADIDIMIZA PRISON KWA KUIFUMUA BAO 3-0, AZAM FC WABANWA MBAVU MABATINI!!

Klabu ya Yanga SC imejiimarisha katika ligi kuu Tanzania bara baada ya ushindi wake kwa kuifumua Tanzania Prison FC kwa bao 3-0 na kukusanya pointi 28 katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

 
Mabao ya Yanga sc yalipachikwa wavuni na kupitia kwa Saimon Msuya aliyefunga mawili dakika ya 3 kipindi cha kwanza kabla ya kufunga bao lingine dakika 63 kutokana na mipira ya kona iliyochingwa na Andrea Countinho.

Andrea Countinho alifunga bao la pili katika dakika ya 11 katika mchezo huo na kufanya Prison FC kulala kwa kufungwa bao 3-0.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Azam FC walibanwa mbavu kwa kulazimisha suluhu ya bao 0-0 na JKT  Ruvu katika uwanja wa Mabatini mkoani Pwani na kubakia na pointi zake 26. 

Ligi hiyo itaendelea tena kwa Februari 21 mwaka huu kwa michezo mitatu.

MICHEZO INAYOKUJA
2015-02-21

16:00KAGERA SUGARVs    POLISI MORO
16:00NDANDA FCVs    COASTAL UNION
16:00MGAMBO JKTVs    MTIBWA SUGAR


MSIMAMO WA LIGI TANZANIA BARA BAADA YA MICHEZO YA LEO FEBRUARI 19/2015.
https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpf1/v/t1.0-9/10996151_885349264840941_9191437513108067184_n.jpg?oh=57cbf2ded54c4c5a266a0fb7a0d0879c&oe=5550A032&__gda__=1434934360_be2fb771dd2f6ba80cd9020c6c2cf97d
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment