YANGA YABANWA MBAVU NA TIMU YA NDANDA FC!!


YANGA MJENGO Timu ya YANGA jana  walishindwa kuifunga timu ya Ndanda FC kwenye Mechi ya Ligi Kuu Vodacom iliyochezwa Uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam na kuishia kutoka sare ya bila kufungana 0-0.

Matokeo hayo yameifanya Yanga wapande hadi Nafasi ya Pili wakiwa na Pointi 2 nyuma ya Vinara wa ligi hiyo Azam FC ambao wana Pointi 21 huku wote wakiwa wamecheza Mechi sawa 11 kila mmoja.

Nafasi ya Tatu imeshikiliwa na Mtibwa Sugar ambao wana Pointi 18 kwa Mechi 11.
Endapo Yanga wangeifunga Ndanda FC basi wangeipiku Azam FC usukani wakuongoza Ligi hiyo.

Mechi inayofuata kwa Yanga ni hapo Jumatano Februari 4 huko Mkwakwani Mjini Tanga dhidi ya Coastal Union.

RATIBA:
Jumatano Februari 4
Coastal Union v Yanga
Jumamosi Februari 7
Polisi Moro v Azam FC                
Ndanda FC v Stand United         
Kagera Sugar v Mgambo JKT                
Prisons v Ruvu Shootings           
JKT Ruvu v Mbeya City              
Coastal Union v Simba               
Jumapili Februari 8
Yanga v Mtibwa Sugar
MSIMAMO:

NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Azam FC
11
6
3
2
15
8
 
7
21
2
Yanga
11
5
4
2
12
7
 
5
19
3
Mtibwa Sugar
11
4
6
1
13
7
 
6
18
4
Polisi Moro
13
4
6
3
10
9
 
1
18
5
JKT Ruvu
13
5
3
5
13
13
 
0
18
6
Ruvu Shooting
13
5
3
5
9
10
 
-1
18
7
Coastal Union
12
4
5
3
10
8
 
2
17
8
Simba
12
3
7
2
13
11
 
2
16
9
Kagera Sugar
13
3
6
4
10
11
 
-1
15
10
Mbeya City
12
4
3
5
8
10
 
-2
15
11
Mgambo JKT
11
4
2
5
6
10
 
-4
14
12
Ndanda FC
13
4
2
7
12
17
 
-5
14
13
Stand United
13
2
5
6
8
16
 
-8
11
14
Tanzania Prisons
12
1
7
4
9
11
 
-2
10
MATOKEO- Mechi zilizopita:
Jumamosi Januari 31
Simba 2 JKT Ruvu 1
Coastal Union 0 Mtibwa Sugar 0
Tanzania Prisons 1 Kagera Sugar 1
Polisi Morogoro 1 Mbeya City 0
Jumatano Januari 28
Simba 1 Mbeya City 2
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment