MGOMO WA MADEREVA WALETA KIZAZAA NCHINI!!

Mabasi yanayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na mikoa ya kusini yakiwa yameegeshwa kwenye kituo cha Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es salaam katika mgomo wa madereva 


Askari wa  Jeshi la Polisi wakiwa katika eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es salaam asubuhi ya leo kusimamia  usalama kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa matakwa yao 




Kituo cha Daladala cha Mbagala Rangi Tatu kikiwa kimefurika abiria kufuatia mgomo unaoendelea.


AW1A4978

Hizi ni picha nilizozipata kuanzia asubuhi mpaka sasa maeneo mbalimbali Dar.
AW1A4954
AW1A4960
AW1A4961
AW1A4972
AW1A4977
AW1A4978
AW1A4980
AW1A4984
AW1A4997
AW1A4998
AW1A5006

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment