Winnie Madikizela-Mandela(amezaliwa tarehe 26 Septemba1936, kama Nomzamo Winifred Zanyiwe Madikizela) nchini Afrika ya Kusini. Ni mwanasiasa wa Afrika ya kusini, aliyewahi kushika nafasi kadhaa serikalini, kama vile African National Congress Women's League. Kwa sasa ni mwanachama katika chama cha National Executive Committee. Japokuwa ameolewa na Nelson Mandela
katika wakati Nelson Mandela anapata kuwa Raisi wa Afrika ya kusini,
mwezi wa tano mwaka 1994, hajawahi kuwa mwanamke wa kwanza wa Afrika ya
kusini. Kwani wawili hao, waliachana miaka miwili baadae kwa madai ya
kuwa Winnie, alikuwa sio mwaminifu baada ya Nelson kutoka gerezani mwezi
wa pili mwaka 1990. Talaka ya mwisho ilitolewa tarehe 19/03/1996.
mpiganiaji haki, ni maarufu kwa upande wa wanachama wake , ambao
humwiita 'Mama wa Taifa' lakini wapo wanaopingana na hali hii hususani
baada ya kukumbana na mashtaka mbalimbali kama vile, kukiukwa kwa haki
za binadamu kama vile kumtesa na hatimaye mtoto wa miaka 14, Stompie
Moeketsi mwaka 1989. .
Mwezi wa tatu mwaka 2009, Tume ya kujitegemea ya Uchaguzi, iliamua kuwa
Winnie Mandela Ndiye mgombea aliyechaguliwa kuwa mgombea wa uraisi kwa
tiketi ya chama cha ANC, na angeweza kugombea katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Africa ya Kusini
pamoja na kukabiliwa na kashfa mbalimbali.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment