Hitimisho la historia ya Winnie Madikizela-Mandela.

=Kunyimwa pasi ya kuingia Canada

Habari za wikizilisema: Mke wa Zamani wa Nelson Mandela amenyimwa pasi ya kuingia Canada Mwezi wa sita mwaka 2007, kamiseni ya juu ya Canada, nchini Afrika ya kusini, ilikataa kumpa pasi WinnieMandela ya kusafiri hadi Toronto,Canada ambapo alikuwa amepangiwa kushiriki katika tamasha la harambee lilopangwa na kituocha sanaa cha MusicNoir, ambacho kilijumuisha kuoneshwa kwa mara ya kwanza kwa tamthiliya ya The Passion of Winnie iliyokuwa imeigizwa kuendana na maisha yake. 

Kurudi katika siasa

Wakati chama cha ANC,kilipotangaza uchaguzi wa bodi ya uchaguzi ya taifa tarehe 21/12/2007.Mandela alishika nafasi ya kwanza kwa kuwa na kura 2845.

Msamaha kwa wahanga wa maandamano

Mandela aliyapinga mandamano yenye fujo ya kuanzia mwezi wa tano hadi mwezi wa sita mwaka 2008,yaliyoanza katika jiji la Johannesburg na kuenea katika nchi nzima na kuilaumu serikali kw kutokuwa na kushindwa kutoa huduma ya makazi kwa waathirika wa maandamano. Pia aliomba msamaha kwa waathirika walipata matatio kutokana na maandamano. Halikadhalika alikwenda kuwatembelea waathirika hao katika mji wa Alexandra.]]. Pia alijitolea nyumba yake kwa ajili ya wahamiaji kutoka nci ya jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Alionya kuwa wapanda maandamano wangeweza kuvamia katika mfumo wa reli ya Gauteng..

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2009

Mandela alishika nafasi ya tano katia uchaguzi ANC,kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2009, waliokuwa mbele yakewalikuwa ni pamoja na Raisi wa sasa wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma aliyekuwa raisi wa Afrika ya kusini Kgalema Motlante, Makamu wa raisi wa Afrika Kusini Baleka Mbete na Waziri wa fedha Trevo Manuel. Makala katika gazetila the Observer, lilisema kuwa, suala la Winnie kupata nafasi ya juu katika chaguzi hiyoinaonesha kuwa,chama chake kina imani nae sana na pia yeye ni hazina katika chama hicho hususani kwa watu masikini.

Muonekano wake katia Filamu na televishen

Tina Lifford anmwelezea Mandela, mwaka 1997, katika tamthilia ya mandela and De Klerk, Sophia Okedo anamwelezea Mandela katika tamthiliya katika kituo cha televishei cha BBC Jennifer Hudson atacheza nafasi ya mama Mandela katika mchezo unaofuatia na utakaoazwa kurekodiwa mwaka 2010. Jennifer Hudson amekuwa akicheza nafasi ya Mandela katika filamu ya inayoitwa "Winnie" itakayoongozwa na Darrel J. Roodt. Andre Pieterse, Roodt na Paul L.Johnson inayoegemea katika mwongozo wa Anne Marie du Preez Bezdrob inayohusu historia ya maisha yake "Winnie Mandela: A life  Umoja wa wafanyakazi wa Afrika ya kusini,wamepinga mpango huu, na kueleza kuwa watafungua mashtaka kupinga filamu hiyoiwapo mpangilio wa waigizaji hautabadishwa.

@BBC WORLD NEWS
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment