BREAKING NEWS!! MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA YAFUNGIWA


DSC_0066_048af_b99b2.png
DSC_0068_b4d0a_9c292.png
Habari zilizotufikia  hivi punde zinasema kuwa gazeti la Mwananchi na Mtanzania yamefungiwa kwa kuandika habari za uchochezi na upotoshaji,
Kwa upande wa gazeti la Mwananchi  limefungiwa kwa muda wa siku kumi na nne(14) wakati gazeti la Mtanzania limefungiwa kwa siku tisi( 90)
Chanzo: TBC habari kwa ufupi saa 11 jioni
Kwa habari zaidi tembelea,
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment