WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA RIPOTI YA HALI YA UWEKEZAJI NCHINI!!


 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda (kulia) akikata utepe kuzindua ripoti ya hali ya Uwekezaji nchini Tanzania leo jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine ripoti hiyo imegusia sera na na maendeleo ya uwekezaji nchini pamoja na changamoto zinazokwamisha ustawi wa uwekezaji Tanzania.
 Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akionyesha vitabu vya ripoti ya Uwekezaji Tanzania kwa wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa ripoti kuhusu hali ya Uwekezaji nchini Tanzania  leo jijini Dar es salaam.
  Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimkabidhi kitabu cha Ripoti ya hali Uwekezaji nchini Tanzania Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi (kulia) leo jijini Dar es salaam.
  Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na wadau wa uwekezaji mara baada ya kuzindua ripoti kuhusu hali ya uwekezaji nchini Tanzania.
 Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi (kulia) akizungumza jambo na Bi. Marry Hobbs Mwakilishi wa masuala ya Kilimo na Maliasili wa Shirika la Misaada la Watu wa Marekani nchini Tanzania leo wakati wa Uzinduzi wa ripoti ya hali ya Uwekezaji nchini.
 Wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa ripoti ya Uwekezaji nchini Tanzania leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu changamoto na hali ya uwekezaji katika sekta ya Mifugo na uvuvi nchini. 
Picha na  HABARI MAELEZO.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment