BREAKING NEWS: MVUA KUBWA YENYE UPEPO MKALI YAEZUA PAA LA DARASA NA NYUMBA YA MWALIMU WILAYANI HAI MKOA WA KILIMANJARO!!

 Moja ya Madarasa yakiwa yameharibiwa vibaya na Mvua na kusababisha kuezua paa na kubomoa Darasa hilo

 Hivi ndivyo Darasa hilo Lilivyo Bomoka Baada ya Mvua hizo kuezua Paa
 Baadhi ya miti ikiwa imeangushwa chini na mvua kubwa iliyo sababishwa na  Mvua kali iliyo ambatana na upepo mkali na radi,
 Nyumba ya Mwalimu ambayo ilikuwa inajengwa na paa Juu likiwa tayari lakini , mvua kubwa imeliezua
Hili ni Paa la nyumba ya Mwalimu  ambalo limeezuliwa na mvua.
Picha na Joshua
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment