Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa
(katikati), Andrew Chenge (kulia) na James Mbatia wakiteta jambo bungeni
mjini Dodoma leo Machi 31, 2014.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Anne Makinda ambaye ni Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akibadilishana mawazo na Spika wa Baraza
la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Kificho ndani ya bunge leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Anne
Makinda (kushoto) na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Namelok Moringe Sokoine (kulia) wakibadilishana
mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika vikao vya Kamati
mbalimbali za kupitia vifungu mbalimbali rasimu ya Katiba mpya zoezi
ambalo limeanza leo .
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
Zakia Meghji(kushoto) na Christopher Ole Sendeka(kulia) wakijadiliana
leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika Kamati zao kwa ajili ya kuanza
kupitia rasimu ya Katiba mpya.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
James Lembeli (kushoto) na Mchungaji Peter Msigwa (kulia) wakijadiliana
leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika Kamati zao kwa ajili ya kuanza
kupitia rasimu ya Katiba mpya.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba
Tundu Lissu akitanga Kamati ya Uongozi kutoa ratiba itakayoongoza
shughuli za Bunge hilo leo mjini Dodoma
Wajumbe wa Bunge Maalum la
Katiba,Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa (katikati), Andrew Dhenge
(kulia) na James Mbatia wakiteta, bungeni jini Dodoma machi 31,2014
Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba
na Maspika, Anne makinda wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(kushoto) na Pandu kificho wa Baraza la Wawakilishi wakiteta, Bungeni
Mjini Dodoma Machi 31, 2014.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba Samwel Sitta akiondoka katika ukumbi wa Bunge mara baada ya
kuharisha kikao cha Bunge leo mjini Dodoma ambao wajumbe wameelekea
katika Kamati zao mbalimbali kupitia vifungu vya rasimu ya Katiba Mpya.Picha na Tiganya Vincent-Dodoma na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment