Profesa Nehemia Ossoro (wa tatu kulkia) ambaye ni mwataaluma aliyeko Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini (ESAURP akifafanua kuhusu suala la gharama ya serikali tatu(shirikishi) leo kutokana kuwa haina vyanzo vya mapato kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan, ambaye hayupo pichani.
Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Kidawa Hamid Salehe( kulia)akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan(kushoto).
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan (kushoto) akimsikiliza Profesa Ted Mariyamkono(kulia), ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini (ESAURP) wakati akitoa maelezo juu ya kitabu cha KATIBA BORA TANZANIA , maalum kwa wajumbe wa Bunge hilo ili kusaidia mchakato wa Katiba mpya ,
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan(kushoto) akipokea kitabu cha KATIBA BORA TANZANIA kutoka kwa Profesa Ted Mariyamkono(kulia) ambacho kimetayarishwa na wanataaluma 100 kutoka Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini (ESAURP) kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Bunge Mjini Dodoma leo kitakachosaidia kwenye mchakato wa Katiba mpya.
0 comments:
Post a Comment