KIPIMO CHA HARAKA CHA MALARIA(mRDT) KATIKA VITUO BINAFSI VYA AFYA MKOANI MBEYA CHAZINDULIWA!!


Mgeni rasmi kaimu katibu tawala wa mkoa wa Mbeya Nicolaus Ntangu akizindua kipimo cha haraka cha Malaria (mRDT)kwa vituo binafsi vya Afya mkoani Mbeya . 
Amesema Katika hatua ya awali ya utekelezaji wa mradi huu mikoa ya Mbeya, Morogoro na Tanga imechaguliwa kwa ajili ya majaribio. Jumla ya vituo 51 vya binafsi vinavyotoa huduma ya afya kwa mama na mtoto vitahusika katika zoezi hili. Kwa mkoa wa Mbeya Jumla ya vituo 17 vitahusika katika huduma hii ya mRDT. 

Mganga mkuu wa mkoa wa Mbeya  Dk Seif Mhina akimkaribisha mgeni rasmi

Mratibu (PSI) kanda ya nyanda za juu kusini Elia J. Ndutila akitoa taarifa fupi kwa mgeni rasmi amesema watu 30,000 na 60,000 hufa kwaMalaria kwa mwaka na kundi kubwa linalo adhirika ni watoto waliochini ya umri wa miaka mitano na kina mama wajawazito. 

Mratibu Malaria mkoa wa Mbeya Salehe Mwango akisoma taarifa fupi kwa mgeni rasmi


Wamiliki na wahudumu wa vituo vy afya vya binafsi wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi katika uzinduzi huo



Nassoro  s  Mohamed  Mtaalamu wa Afya PSI  Kanda ya nyanda za juu kusini akifafanua jambo kwa wamiliki wa vituo binafsi vya afya katika uzinduzi huo




kipimo cha haraka cha malaria-mRDT 


Picha ya pamoja
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment