Wajumbe
 wa  Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa 
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi  (Wapili kushoto)  wakifurahia
 jambo  katika mazungumzo na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu 
Kificho  (wapili kulia) na  Haidar Madeweyya .
Wajumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba Mohamed Abood(kushoto) na Stephen Wassira 
wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na 
mbili cha Bunge Maalum la Katiba.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma wakiwa Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014 kwa ziara ya kujifunza.
Wajumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba Sophia Simba (kushoto) na James  Lembeli 
(katikati) na Job Ndugai (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma 
wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.
Wajumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba Philemon Ndessamburo (kushoto) na James 
Mbatia (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao 
cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.

Mwenyekiti
 wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(wa pili kulia) akiongozana na 
wajumbe wengine wa Bunge hilo kuelekea katika mapumziko mafupi mara 
baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma.

Wajumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba James Mbatia (kushoto), Mohamed Raza( wa pili
 kushoto) , Profesa Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) na Freeman 
Mbowe(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha 
ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba. Picha na Bunge Maalum la 
Katiba -Dodoma.
0 comments:
Post a Comment