
 Mbunge
 mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na 
mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa 
kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa  kumchagua kuwa mbunge wao  uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi imemtangaza Mh.Ridiwani Kikwete  kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika juzi Aprili 6

 Mke
 wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia 
mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kayta ya 
Bwilingu uwanja wa Miembe Saba Chalinze jana

Mbunge
 mteule wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani akiwashukuru wananchi wa 
Chalinze baada ya kumchagua kuwa mbunge wao katika uchaguzi uliofanyika 
juzi jimboni humo
0 comments:
Post a Comment