DC NOVATUSI MAKUNGA ATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA)

DC Novatusi Makunga akitia saini katika kitabu cha wageni katika moja ya vyanzo vya maji alivyotembelea.
Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Patrick Kibasa akimueleza jambo mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga wakati wa ziara yake ya siku moja kutembelea vyanzo vya maji vya mamlaka hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga akizungumza jambo mara baada ya kupatiwa maelezo toka kwa kaimu mkurugenzi wa MUWSA ,Mhandisi Patrick Kibasa.
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA) Sharry Raymond wakati akitembelea chanzo cha maji cha Kilimanjaro.
DC Makunga akisikiliza kwa makini maelezo toka kwa Kaimu mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) Mhandisi Patrick Kibasa alipotembelea chanzo cha maji cha Longuo.
Tanki la kuhifadhi maji katika chanzo cha maji cha Longuo.
Chanzo cha Maji cha Shiri 
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa MUWSA ,Sharry Raymond akieleza jambo wakati wa ziara ya mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alipotembelea vyanzo vya maji vya mamlaka hiyo.
Dc Makunga akishauri jambo mara baada ya kutembelea chanzo cha maji cha Shiri.
DC Makunga akiendelea na ziara katika vyanzo vingine.
Sehemu ya matibabu ya maji katika chanzo cha maji cha Tsere.
DC Makunga akitembelea tanki la maji la Kilimanjaro.
Mhandisi Kibasa akitoa maelezo katika eneo la tanki la Maji la Kilimanjaro.
DC Makunga akipatiwa maelezo katika eneo la maji taka namna ambavyo maji hayo yanaweza kutumika tena na wakulima wa mpunga katika eneo la Mabogini.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa MUWSA,Sharry Raymond akimuonyesha DC Makunga sehemu ya mabwawa ya maji taka.
Mabwawa ya maji taka.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment