
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akiteta  na Mbunge wa Urambo na Waziri wa 
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma 
May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, 
bungeni mjini Dodoma May 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul akiwa Bungeni.



0 comments:
Post a Comment