TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MANYARA!!


Wakiwa wanajadili maelezo yaliyotolewa na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa
kiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu mstaafu wa Zanzibar, Hamid Mahamoud Hamid, hao
ni baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara, wakiwa kwenye kikao jana mjini Babati.
 Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mkuu mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid akizungumza juzi mjini Babati na waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara, juu ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voter Registration (BVR) unatarajia kuanza mwezi Septemba mwaka huu (kushoto) ni Mkurugenzi wa sera na mipango wa Tume hiyo Eugenia Mpanduji na kulia ni Mkurugenzi wa Mji wa Babati Omary Mkombole.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Eugenia Mpanduji akizungumza juzi mjini Babati na waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara, juu ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voter Registration (BVR) unatarajia kuanza mwezi Septemba mwaka huu (kulia) ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment